Skip to main content
Skip to main content

Wakazi kaunti ya Kwale walalamikia kupatiwa mashamba madogo baada ya kutolewa hatimiliki

  • | Citizen TV
    2,690 views
    Duration: 2:25
    Baadhi ya wakazi wa Kwale waliopewa hatimiliki wiki iliyopita na Rais William Ruto katika mpango wa serikali wa kuwatambua maskwota, wamelalamikia kupimiwa mashamba madogo kuliko maeneo waliyokuwa wakilima kwa miaka mingi.