Skip to main content
Skip to main content

Wakazi Kiamariga walalamikia uhaba mkubwa wa maji

  • | Citizen TV
    317 views
    Duration: 3:05
    Wakazi wa eneo la Kiamariga katika Wadi ya Salama, Kaunti ya Laikipia, wamelalamikia uhaba mkubwa wa maji unaolikabili eneo hilo. Wakazi hao wanasema kuwa changamoto zao za kutafuta rasilimali hiyo muhimu zimezidishwa na ongezeko la shughuli za umwagaji maji mashambani na idadi kubwa ya mifugo katika eneo hilo, ambao hunywa maji kutoka Mto Mutara.