Skip to main content
Skip to main content

Wakazi Kisii wafunga barabara Ekerore wakilalamikia ubovu wa usafiri

  • | Citizen TV
    428 views
    Duration: 3:09
    Shughuli za usafiri zilikatizwa katika barabara ya Ekerore- Nyanchwa huko Bonchari, kaunti ya Kisii baada ya wakazi waliojawa na ghadhabu kufunga barabara hiyo. Wakazi wanalalamikia ubovu wa barabara wakisema mwanakandarasi alifanya kazi duni na kuwasababisha kutafuta njia mbadala ya kupitia kuelekea kisii mjini.na kama anavyoarifu Chrispine, wakazi walilima na kupanda migomba ya ndizi barabarani ili kuonyesha ghadhabu yao.