2 Oct 2026 11:06 am | Citizen TV 381 views Duration: 1:39 Wakazi wa Lamu wametaka wanasiasa kukoma kuingiza siasa katika miradi ya maendeleo inayopendekezwa nchini, wakisema kwamba inalenga kufungua uchumi wa nchi.