- 2,799 viewsDuration: 2:43Wakaazi wa maeneo ya Kivani eneobunge la Kaiti kaunti ya Makueni waelezea furaha yao baada ya kukamilika kwa ujenzi wa bwawa mto Kaiti. Wakazi hawa wasema bwawa hili litashughulikia pakubwa uhaba wa maji kwenye eneo hilo na kufanikisha ukuzaji wa miti ili kusaidia katika harakati za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.