30 Sep 2026 10:36 am | Citizen TV 496 views Duration: 1:09 Baadhi ya Wakazi wa kaunti ya Uasin Gishu, wafanyabiashara na watumizi wa bidhaa za tumbaku wanapinga Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku wa mwaka 2024, unaopendekezwa na bunge la seneti.