Skip to main content
Skip to main content

Wakazi Nyandarua watoa maoni kuhusu miswada ya elimu

  • | Citizen TV
    328 views
    Duration: 2:14
    Wadau mbalimbali wa elimu kutoka Kaunti ya Nyandarua walipata fursa ya kuwasilisha mapendekezo yao katika mchakato unaoendelea wa ushirikishwaji wa umma na vikao vya kusikiliza maoni kuhusu Miswada sita (6) ya elimu iliyopendekezwa.