Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Banisa na Rhamu kaunti ya Mandera wapata matibabu ya macho

  • | Citizen TV
    237 views
    Duration: 2:07
    Wakazi wa Banisa na Rhamu katika Kaunti ya Mandera wamepata huduma za matibabu ya macho. Wataalamu wa afya wameonya kuwa uzee pamoja na vumbi jingi ni miongoni mwa changamoto zinazoweza kuchangia matatizo ya macho katika eneo hilo.