4 Jun 2026 1:30 pm | Citizen TV 152 views Duration: 2:16 Kwa zaidi ya miongo miwili, wakazi wa Banita katika eneo bunge la Rongai wameendelea kuishi chini ya kivuli cha mgogoro wa ardhi uliochelewesha utoaji wa hati miliki na kusababisha kesi nyingi mahakamani.