Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Bomet walalamika kwa kukosa maji ya kutosha

  • | Citizen TV
    168 views
    Duration: 1:16
    Wakazi wa kaunti ya Bomet wakosoa uongozi wa gavana Hillary Barchok baada ya kufeli kutatua uhaba mkubwa wa maji kwa miaka mitatu iliyopita katika maeneo mengi kaunti ya Bomet .