Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Bonde la Ufa wapinga pendekezo la kufutilia mbali KVDA

  • | Citizen TV
    1,046 views
    Duration: 3:38
    Wakazi wa kaskazini mwa bonde la ufa wameibua pingamizi dhidi ya pendekezo la kutaka kufutiliwa mbali kwa mashirika ya serikali ikiwemo mamlaka ya maendeleo katika bonde la kerio KVDA. Wakazi hao wanasema mashirika hayo yamewasaidia pakubwa wakazi wa maeneo hayo kwa kufadhili miradi mbalimbali.