Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Borabu wahamasishwa kuhusu dawa za kulevya

  • | Citizen TV
    152 views
    Duration: 5:01
    Mamia ya wakazi pamoja na mashirika mbalimbali yakiwemo Kanisa Katoliki , kanisa la kiadventista, serikali kuu na ile ya kaunti ya Nyamira wameandaa msafara wa kuhamaisha umma dhidi ya pombe haramu na matumizi ya dawa za kulevya hususan miongoni mwa vijana. Wakazi wakisema maeneo hayo ya Nyansiongo yakekuwa na visa vya watu kuangamia kutokana na pombe haramu.