Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Bungoma wataka EACC iongezewe fedha

  • | Citizen TV
    440 views
    Duration: 1:54
    Baadhi ya wakazi wa Bungoma wanataka Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) iongezewe fedha ili kuimarisha juhudi za kupambana na ufisadi. Wakazi hao pia wanataka sehemu ya fedha zilizorejeshwa kutokana na ufisadi zitumike na EACC katika kutekeleza majukumu yake.