- 179 viewsDuration: 1:34Wakazi kutoka vijiji sita vya eneo bunge la Bura kaunti ya Tana River wamefanya maandamano kupinga mradi wa serikali wa kutengea wawekezaji ardhi ya upanzi wa miwa kwenye ardhi yao wakisema ni mbinu inayotumika kunyakua ardhi hiyo.