Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Busia wahimizwa kuelewa katiba kabla ya mswada wa fedha na uchaguzi mkuu

  • | Citizen TV
    239 views
    Duration: 4:13
    Wakazi wa Busia wamehimizwa kuisoma na kuielewa katiba ya mwaka wa 2010 ili waweze kufanya maamuzi yenye ufahamu na kuwawajibisha viongozi wao, hasa wakati wa mjadala wa Mswada wa Fedha wa mwaka 2026/2027 na kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.