- 1,122 viewsDuration: 2:55Wakazi wa eneo la Dunga sasa wanaitaka serikali kutambua kinamasi cha Dunga kama eneo muhimu kwa mazingira, ili kuzuia uharibufu wa eneo hilo. Hii ni baada ya kiasi kikubwa cha kinamasi hicho kuteketezwa kwa siku saba na baadhi ya wakazi wanaotaka kufanya kilimo katika eneo hilo.