Skip to main content
Skip to main content

wakazi wa eneo la Karichen kaunti ya Nyeri wakataa kujengwa kwa kiwanda cha utengezaji simiti

  • | Citizen TV
    201 views
    Duration: 1:45
    Kwa mara ya tatu mfululizo, wakazi wa eneo la Karichen, huko Kieni kaunti ya Nyeri, wakataa kujengwa kwa kiwanda cha utengezaji simiti eneo hilo wakisema kitakuwa na madhara mengi kuliko faida.