9 Oct 2026 10:25 am | Citizen TV 1,075 views Duration: 3:46 Idadi kubwa ya wakazi wa eneo la Samia kaunti ya Busia wanakumbwa na njaa kutokana ukosefu wa maji kutokana na ukame ulioshuhudiwa kwa muda mrefu, wakilazimika kutegemea misaada ya chakula kutoka kwa serikali kuu.