- 263 viewsDuration: 3:46Katika hatua muhimu ya kuimarisha uhifadhi wa mazingira na ustawi wa jamii, wakazi wa Eselenkei group ranch katika kaunti ya Kajiado wapokea shilingi milioni 14 kupitia mpango unaofadhiliwa na Porini camps. Malipo haya ya kila mwaka ni sehemu ya makubaliano ya kimkakati yalengayo kuendeleza juhudi za uhifadhi na kuboresha maisha ya jamii.