14 May 2026 1:40 pm | Citizen TV 1,268 views Duration: 1:25 Idara ya wanyama pori nchini KWS imewatahadharisha wenyeji wa kaunti za Garissa na Tana River dhidi ya uwindaji haramu na ulaji wa nyama kutoka kwa wanyama pori.