6 Jul 2026 10:32 am | Citizen TV 257 views Duration: 1:52 Baadhi wanakijiji wa Gazi katika kaunti ya Kwale wanahofia njama ya kuvuruga zoezi la serikali ya kitaifa la ugavi wa ardhi kwa maskwota 500 lililoratibiwa kufanyika wiki hii.