1 Jan 2026 4:13 pm | Citizen TV 191 views Duration: 1:32 Wakazi wa mji wa Kabarnet katika Kaunti ya Baringo walikusanyika katika Bustani ya Kabon kuukaribisha Mwaka Mpya katika sherehe ya kupendeza iliyojaa furaha, burudani na wito mpya wa umoja miongoni mwa jamii za eneo hilo.