- 2,792 viewsDuration: 3:39Watumijai wa barabara ya Imaroro-Mashuuru kuelekea Isara huko Kajiado Mashariki wanamtaka Rais Willimma Ruto Kutimiza ahadi yake kukarabati barabara hiyo ambayo kwa sasa imeharibika vibaya na kueendelea kutatiza shuguli za uchukuzi. Wakazi hao wanasema Licha ya Rais Kuahidi na kutangaza mipango ya kukarabatiwa kwa barabara hiyo mara kadhaa ikiwemo ahadi ya Mwezi uliopita alipozuru eneo la Mashuuru, hadi sasa ahadi hizo zimesalia hewa, huku watumiaji wakihangaika barabarani.