Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kapkembu Nakuru waomba KERRA wajenge barabara iliyoharibika zaidi ya miaka mitano

  • | Citizen TV
    183 views
    Duration: 2:44
    Wakazi wa kijiji cha Kapkembu kaunti ya Nakuru wanaitaka mamlaka ya KERRA kujenga barabara ya Kapkembu kuelekea Mwangate ambayo imekuwa katika hali mbaya kwa zaidi ya miaka mitano. Hali hii imesababisha kufungwa kwa kiwanda cha chai huku mazao ya shamba pia yakikosa soko