Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kapuothe waiomba Kisumu kujiandaa kwa mvua za El Niño

  • | Citizen TV
    868 views
    Duration: 2:59
    Wakazi wa Kapuothe, Kaunti ya Kisumu, wanaitaka serikali ya kaunti kuweka mikakati ya kutosha kukabiliana na mafuriko na hasara zinazoweza kusababishwa na mvua za El Niño. Baadhi ya wakazi wameanza kukarabati kuta za nyumba zao ili kukabiliana na maji yanayosababisha mafuriko katika eneo hilo. Idara ya majanga ya Kaunti ya Kisumu imesema itafungua baadhi ya mabomba na mitaro ya maji kama sehemu ya mikakati ya kuwalinda wakazi dhidi ya madhara kabla ya mvua za El Niño kuanza.