7 Oct 2026 10:17 am | Citizen TV 339 views Duration: 2:17 Wakazi wa Garissa wameitaka tume ya kitaifa ya ardhi kutatua dhulma za jadi zinazohusiana na ardhi wakizitaja kama vikwazo kwa uhuru wa maendeleo na umiliki wa ardhi.