24 Jul 2026 10:31 am | Citizen TV 1,124 views Duration: 2:25 Wakazi wa Kaunti ya Kajiado waitaka tume ya kitaifa ya uwiano na utangamano NCIC kuchukua hatua dhidi ya matamshi yadaiwayo kuwa ya uchochezi wa kikabila, wakisema yatishia amani na mshikamano wa jamii.