Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kiharu wapongeza hatua ya Ndindi Nyoro kujiunga na upinzani

  • | Citizen TV
    2,921 views
    Duration: 2:41
    Wakazi wa eneo bunge la Kiharu wanapongeza hatua ya mbunge wao Ndindi Nyoro ya kuzindua chama cha People's Party na kutangaza kuwa sasa atajiunga na mrengo wa upinzani kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.