8 Oct 2026 10:19 am | Citizen TV 766 views Duration: 2:04 Wakazi wa eneo la Kimugandura wadi ya Segera Laikipia kaskazini wameapa kutoondoka kwenye ardhi ya kimugandura la ekari elfu 14 ambalo limekuwa na mzozo wa umiliki kwa zaidi ya miaka 20 sasa.