7 Oct 2026 10:15 am | Citizen TV 618 views Duration: 2:22 Wakazi wa kijiji cha kisiriri Laikipia kaskazini wamekashifu vikali juhudi za serikali za kuwafurusha kutoka kwenye shamba la ekari zaidi ya elfu mbili wakisema ni mali yao halali.