Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kisumu wajitokeza kujisajili kupiga kura

  • | Citizen TV
    439 views
    Duration: 2:24
    Katika kaunti ya Kisumu, hali ilikuwa tofauti huku wakazi wengi wakijitokeza kujisajili kuwa wapiga kura. Wakazi hao walisema kuwa usajili wa kura kwa mwaka ujao ni mojawapo ya njia za kutoa maoni yao na kushiriki katika kufanya maamuzi kupitia sanduku la kura. Wakati huo huo, shughuli za kawaida ziliendelea jijini humo licha ya baadhi ya waandalizi wa maandamano kudai kuwa kulikuwa na ukandamizaji.