Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Konoin walalamikia madai ya ufisadi wa ajira katika TSC Bomet

  • | Citizen TV
    795 views
    Duration: 2:50
    Wakazi wa eneo la Konoin kaunti ya Bomet wamevamia na kuifunga ofisi ya tume ya kuwajiri walimu nchini tsc tawi la konoin kwa tuhuma za ufisadi. Wakazi wamedai kuwa maafisa wanaohudumu katika afisi hizo wamekuwa wakipokea pesa kutoka kwa wenyeji wanaosaka ajira ya ualimu.