1 Jul 2026 10:54 am | Citizen TV 295 views Duration: 1:20 Wakaazi wa kaunti ya Kwale hawajakumbatia mbinu za upangaji uzazi kutokana na mila, dhana potofu imani za kitamaduni na kusababisha wanandoa kutotafuta huduma hizo katika vituo vya afya.