Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Lungalunga wataka uhamasishaji zaidi kuhusu mpango wa FLLoCA

  • | Citizen TV
    214 views
    Duration: 1:04
    Wakazi wa Lungalunga, Kaunti ya Kwale, wametaka kuongezwa kwa uhamasishaji na elimu kwa jamii kuhusu mpango wa ufadhili wa miradi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi (FLLOCA), wakisema wengi bado hawana uelewa wa kutosha kuhusu miradi na fursa zinazotolewa kupitia mpango huo.