- 896 viewsDuration: 2:10Baadhi ya wakazi wa Kisiwa cha Mageta, Kaunti ya Siaya, wamejisajili kupokea vitambulisho kwa mara ya kwanza baada ya serikali kuanza mchakato wa usajili kisiwani humo. Baadhi ya wakongwe hao walielezea masaibu waliyokuwa nayo kwa kukosa cheti hicho muhimu, ikiwemo ukosefu wa bima ya afya pamoja na kiinua mgongo cha wazee.