20 May 2026 11:16 am | Citizen TV 1,628 views Duration: 1:54 Wakazi wa Mombasa kisiwani walalamikia uharibifu wa barabara katika eneo la Liwatoni ,hali wanayodai sasa yatishia afya yao na usalama wa raiya.