Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Mtopanga walalamikia bomba la maji taka lililopasuka

  • | Citizen TV
    1,186 views
    Duration: 2:59
    Kwa zaidi ya miezi sita sasa, wakazi wa Mtopanga Kaunti ya Mombasa wamekuwa wakikabiliwa na harufu mbaya baada ya bomba la maji taka kupasuka. Wakazi hao wamelazimika kuchukua hatua wenyewe kwa kufungua mashimo ya maji taka ili kupunguza athari za uchafuzi huo. Wanasema licha ya kutoa ripoti na kufanya mikutano kadhaa na serikali ya kaunti pamoja na Halmashauri ya Mazingira ya NEMA, hakuna hatua iliyochukuliwa hadi sasa. Francis Mtalaki anaarifu.