- 2,440 viewsDuration: 55sWakaazi wa hapa jijini Nairobi wamelaani vikali vurugu zilizoshuhudiwa katika kaunti ya HomaBay, nakusababisha uharibifu wa mali, biashara,na vifo, kwa wananchi wasio na hatia, wakidai kuwa ghasia haziwezi kuwa suluhu ya tofauti za kisiasa, wakisisitiza kuwa hakuna lengo la kisiasa linalostahili kupoteza maisha ya binadamu, au kusambaratisha riziki za familia.