29 Dec 2025 2:53 pm | Citizen TV 340 views Duration: 1:19 Mamlaka ya Kitaifa ya Kupambana na Dawa za Kulevya (NACADA), kwa ushirikiano na Idara ya Kitaifa ya kudhibiti Magonjwa, imeendesha mpango wa kuhamasisha wakaazi wa Nandi kuhusu magonjwa yanaysababishwa na ulevi.