Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Nanyuki waandamana kupinga kituo cha karantini ya ebola

  • | Citizen TV
    10,459 views
    Duration: 2:20
    Hali ya taharuki ilitanda mjini Nanyuki huku wakazi wakimiminika barabarani kupinga mpango wa kuanzishwa kwa kituo cha karantini ya Ebola ndani ya Kambi ya jeshi la Anga ya Laikipia.