Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Ngoswani wafunga barabara wakilalamikia hali mbovu ya barabara

  • | Citizen TV
    544 views
    Duration: 2:07
    Wenyeji eneo la Ngoswani kwenye bara bara kuu ya Narok kwenda Sekenani walifunga barabara hiyo kwa zaidi ya saa sita wakisema hali yake mbovu inasababisha ajali nyingi.