Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Nyayo waandamana kupinga unyakuzi wa ardhi ya umma

  • | Citizen TV
    1,168 views
    Duration: 2:12
    Wakazi wa mtaa wa Nyayo, Embakasi, wameandamana kupinga kile wanachodai ni unyakuzi na ugavi wa ardhi ya umma katika eneo hilo. Wakazi hao wanasema viwanja vingi vilitengwa kwa ajili ya ujenzi wa shule, uwanja wa michezo pamoja na miundombinu mingine ya kijamii, lakini vinadaiwa kugeuzwa na kutumika kwa maendeleo binafsi.