3 Aug 2026 1:43 pm | Citizen TV 359 views Duration: 2:07 Huku shughuli ya uchimbaji wa mafuta ikitarajiwa kuanza hivi karibuni katika Kaunti ya Turkana, wakazi wa eneo hilo wameitaka Kampuni ya Gulf Energy kuwafidia kwanza kabla ya kuanza kwa shughuli hiyo muhimu.