11 Sep 2026 10:53 am | Citizen TV 479 views Duration: 1:33 Wakazi wa Ndurio kaunti ya Nandi waandamana kulalamikia hali mbaya ya barabara ya Ndurio-Kapkolei, eneo bunge la Aldai, wakisema ubovu wake unawaathiri katika shughuli zao za kila siku na usafiri.