- 11,519 viewsDuration: 2:20Baadhi ya wakazi wamepinga mpango wa kupanua barabara ya Nyahururu-Gilgil, wakisema hawataki kuhamishwa kwa lazima. Wafanyabiashara katika eneo hilo wana hofu kuwa utekelezaji wa mradi huo unaweza kuathiri shughuli zao za kibiashara.