- 206 viewsDuration: 1:42Kundi la wakazi wasio na ardhi katika Kaunti ya Nandi, likiwemo waliofukuzwa katika misitu, waliorejea kutoka Tanzania pamoja na waathiriwa wa dhuluma za kihistoria kuhusu ardhi, wameandamana mjini Kapsabet wakitaka serikali iharakishe mchakato wa kuwapatia makazi ya kudumu.