Skip to main content
Skip to main content

Wakazi watoa maoni kuhusu fidia ya mradi wa reli Chebinyiny, Bureti

  • | Citizen TV
    224 views
    Duration: 2:07
    Mamia ya wakazi wa Chebinyiny katika eneo bunge la Bureti wafanya mkutano mkubwa wa public participation na sensitization pamoja na maafisa wa Kenya Railways, huku wakielezwa kuhusu utaratibu wa kupata hati zao za umiliki wa ardhi baada ya sehemu ya mashamba yao kuathiriwa na ujenzi wa reli.