6 Oct 2026 10:13 am | Citizen TV 273 views Duration: 1:46 Wakazi zaidi ya elfu nne waliobomolewa nyumba zao katika kijiji cha Ndovuni huko Maungu kaunti ya Taita Taveta mwaka wa 2021 sasa wanaitaka serikali kuwapatia ardhi kwani wengi wao wamebaki kuwa maskwota.