Skip to main content
Skip to main content

Wakenya 48 warejeshwa kutoka Afrika Kusini

  • | Citizen TV
    1,140 views
    Duration: 2:58
    Wakenya wengine 48 waliokuwa wamekwama nchini Afrika Kusini waliwasili nchini Jumatano usiku. Kufikia sasa, takriban wakenya 130 wamerejeshwa nchini kufuatia machafuko ya kushinikiza wahamiaji haramu waondoke nchini humo. Wengine wamekita kambi katika ubalozi wa Kenya mjini Pretoria, Afrika Kusini wakisubiri kurejeshwa kwao Kenya.