Skip to main content
Skip to main content

Wakenya 62% wasema Rigathi Gachagua aunge mkono mgombea urais mwingine

  • | Citizen TV
    16,984 views
    Duration: 53s
    Asilimia 62% ya wakenya waamini kuwa kiongozi wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, apaswa kumuunga mkono mgombea mwenye ushawishi zaidi wa upinzani iwapo anataka kumwondoa madarakani rais William Ruto katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.